Vitoto vya panda vyaoneshwa kwa umma kwa pamoja katika kundi kwenye vituo vya kuzaliana huko Sichuan, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 07, 2024
Vitoto vya panda vyaoneshwa kwa umma kwa pamoja katika kundi kwenye vituo vya kuzaliana huko Sichuan, China
Wafanyakazi wakiwa wamebeba vitoto vya panda kwenye shughuli ya kuvionesha kwa umma kwa pamoja kwenye Kituo cha Utafiti wa Kuzaliana kwa Panda cha Chengdu mkoani Sichuan, Kusini-Magharibi mwa China, Februari 2, 2024. (Kituo cha Utafiti wa Kuzaliana kwa Panda cha Chengdu/ Xinhua)

Vitoto vya panda jumla ya 34 vimezalishwa na Kituo cha Utunzaji na Utafiti wa Panda cha China na Kituo cha Utafiti wa Kuzaliana kwa Panda cha Chengdu Mwaka 2023.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha