Lugha Nyingine
Shughuli za Mwaka Mpya wa Jadi wa China za Grand Bazaar la mkoani Xinjiang zaonesha utamaduni tajiri na wenye kupendeza (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 11, 2024
Tarehe 9 Februari, sherehe ya kufunguliwa kwa Mtaa wa Watembea kwa Miguu wa Grand Bazaar ilifayika katika Mkoa wa Xinjiang, China, ambapo watu waliimba nyimbo kwa furaha, kucheza ngoma za kijadi na kufanya mchezo wa kuchezea dragoni, wakikaribisha kuwadia kwa Mwaka Mpya wa Jadi wa China kwa shughuli mbalimbali.
Wakati wa kusherehekea Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China (Februari 10 hadi Februari 16), Mtaa wa Watembea kwa Miguu wa Grand Bazaar wa mkoani Xinjiang, China utakuwa ukifanya shughuli za kipekee kama vile "Wimbo na Ngoma ya Ying ya Chaoshan" na "Mwana Mfalme wa Tatu Anayetuma Bahasha Nyekundu" kwa watalii kutoka sehemu mbalimbali kila siku.
(Picha na Mirezati Mutalifu/Urumqi Evening News)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma