Picha: Pilikapilika za uzalishaji wa viwanda baada ya mapumziko ya Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 18, 2024
Picha: Pilikapilika za uzalishaji wa viwanda baada ya mapumziko ya Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China
Tarehe 17, Februari, mfanyakazi akiunda mashine ndogo kwenye kampuni ya uundaji mashine ndogo za kilimo katika Mji wa Loudi wa Mkoa wa Hunan, China. (Picha na Nai Jihui/Xinhua)

Jana tarehe 17 Februari ilikuwa siku ya nane ya mwezi wa kwanza kwa kalenda ya kilimo ya China, ambapo mapumziko ya Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China yalikaribia mwisho. Viwanda vingi nchini China vimeanza tena uzalishaji na kuharakisha kuzalisha bidhaa mbalimbali zilizoagizwa, ili kupata mafanikio ya kwanza ya mwaka mpya.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha