Viwanda kote nchini China vyarejea uzalishaji hatua kwa hatua baada ya likizo ya sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 20, 2024
Viwanda kote nchini China vyarejea uzalishaji hatua kwa hatua baada ya likizo ya sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China
Wafanyakazi wakiangalia magari ambayo yamekwishaunganishwa sehemu zake kwenye karakana ya kampuni ya magari ya FAW Hongqi huko Changchun, Mkoa wa Jilin, Kaskazini Mashariki mwa China, Februari 19, 2024. (Xinhua/Zhang Nan)

Viwanda kote nchini China vimeanza shughuli zao za uzalishaji hatua kwa hatua baada ya likizo ya sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China kumalizika.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha