Watu wa kabila la Wagelao washerehekea Sikukuu ya Maolong huko Guizhou, Kusini Magharibi mwa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 21, 2024
Watu wa kabila la Wagelao washerehekea Sikukuu ya Maolong huko Guizhou, Kusini Magharibi mwa China
Wenyeji wakifanya onyesho la ngoma ya dragoni katika "Siku ya Maolong" ya kabila la Wagelao katika Wilaya ya Shiqian, Mkoa wa Guizhou, Kusini Magharibi mwa China, Februari 20, 2024. (Xinhua/Yang Wenbin)

SHIQIAN - Sikukukuu ya Maolong, ambayo ni shughuli ya kitamaduni kwa watu wa kabila la Wagelao katika Tarafa ya Shiqian, Mkoa wa Guizhou, Kusini Magharibi mwa China kusherehekea Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China na Sikukuu ya Taa za Kijadi, imeorodheshwa kama mojawapo ya rithi za kitamaduni zisizoshikika Mwaka 2006.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha