Boti nyingi zafanya safari baharini katika Mji wa Sanya, Mkoani Hainan, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 26, 2024
Boti nyingi zafanya safari baharini katika Mji wa Sanya, Mkoani Hainan, China

Boti nyingi zikionekana zikifanya safari kwenye bahari karibu na Mji wa Sanya wa Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China. Watalii wengi walichagua kusafiri baharini kwa boti za kitalii na burudani ili kusherehekea kwa furaha Sikukuu ya Taa za Kijadi ya China iliyoangukia siku ya Jumamosi, Februai 24, Mwaka 2024. (Picha na Ye Longbin/vip.people.com.cn)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha