Lugha Nyingine
Watawa 12 wapata shahada yenye hadhi sawa na uzamivu katika Ubuddha wa Tibet, China
LHASA - Watawa kumi na wawili wamepata shahada yenye hadhi sawa na ya uzamivu ya Geshe Lharampa ambayo ni shahada ya juu zaidi ya mafunzo ya nje ya mazingira yao ya kawaida katika elimu ya kisasa ya shule ya Gelug ya Ubuddha wa Tibet, kufuatia mdahalo wa sutra uliofanyika siku ya Jumatano katika Mkoa wa Xizang, Kusini Magharibi mwa China.
Wakitokea Mkoa huo wa Xizang na Mkoa wa Yunnan wa Kusini-Magharibi mwa China, watawa hao 12 walishiriki kwenye mdahalo na hafla ya kutoa shahada zao iliyofanyika kwenye Hekalu la Jokhang huko Lhasa, mji mkuu wa mkoa huo.
Sherehe kwenye hekalu zafanyika Mkoa wa Henan katikati ya China
Boti nyingi zafanya safari baharini katika Mji wa Sanya, Mkoani Hainan, China
Sherehe ya "Kuonyesha Buddha" yafanyika katika Hekalu Kaskazini Magharibi mwa China
Watu wa kabila la Wagelao washerehekea Sikukuu ya Maolong huko Guizhou, Kusini Magharibi mwa China
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma