Mabasi yanayotumia nishati mpya yanayotengenezwa nchini China yaonekana kwenye mtaa wa Cape Town, Afrika Kusini

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 01, 2024
Mabasi yanayotumia nishati mpya yanayotengenezwa nchini China yaonekana kwenye mtaa wa Cape Town, Afrika Kusini
Watu wakipanda kwenye basi inayotumia nishati ya umeme ya BYD katika kituo kikuu cha mabasi mjini Cape Town, Afrika Kusini, Februari 28, 2024.

Katika miaka ya hivi karibuni, Golden Arrow, Kampuni kubwa ya Uendeshaji wa Mabasi mjini Cape Town, Afrika Kusini imenunua mabasi yanayotumia nishati ya umeme ya China kwa mara nyingi na kurahisisha usafiri wa watu wa huko.

(Picha na Xabiso Mkhabela/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha