Timu ya 33 ya madaktari wa China yafanya uchunguzi wa kimatibabu bila malipo kwa watoto nchini Tanzania

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 08, 2024
Timu ya 33 ya madaktari wa China yafanya uchunguzi wa kimatibabu bila malipo kwa watoto nchini Tanzania
Daktari wa timu ya 33 ya madaktari wa China visiwani Zanzibar, Tanzania akimfanyia uchunguzi wa kimatibabu bila malipo mtoto wa shule ya chekechea huko Zanzibar, Tanzania, Machi 6, 2024. (Picha na Herman Emmanuel/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Deng Jie)

Picha