

Lugha Nyingine
Wajumbe wanawake wa Bunge la Umma na Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China wang’ara kwenye mikutano mikuu miwilli inayoendelea (10)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 09, 2024
![]() |
Mshauri wa kisiasa wa China Meng Yan akizungumza katika mkutano wa washauri wa kisiasa wa kitaifa kutoka sekta ya elimu kwenye mkutano mkuu wa pili wa Kamati ya Kitaifa ya 14 ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la Umma la China (CPPCC) mjini Beijing, China, Machi 7, 2024. (Xinhua/Chen Yehua) |
Siku ya Tarehe 8, Machi ilikuwa Siku ya Wanawake Duniani.
Katika mikutano mikuu miwili ya China inayoendelea ya Bunge la Umma la China na Kamati ya Kitaifa ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la Umma la China (CPPCC), wajumbe na washauri wa kisiasa wanawake wanafanya kazi muhimu katika kukusanya hekima ili kusukuma mbele maendeleo ya nchi ya China.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Deng Jie)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma