

Lugha Nyingine
Usafirishaji wa mbolea waendelea kwa pande zote kwa ajili ya kilimo cha majira ya mchipuko mkoani Heilongjiang, China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 14, 2024
Huku shughuli za kilimo cha majira ya mchipuko zikikaribia kuanza katika Mkoa wa Heilongjiang, ambao ni mkoa muhimu kwa uzalishaji wa nafaka wa China, Shirika la Reli la China Tawi la Harbin limeanzisha utaratibu wa mawasiliano na wafanyabiashara wa mbolea wa eneo hilo, huku mbolea zenye uzito wa tani zaidi ya 500,000 zikiwa zimeshasafirishwa tangu mwanzoni mwa Mwaka 2024. (Xinhua/Zhang Tao)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma