Kutoka kutishiwa hadi kustawi: urejesho wa mazingira mazuri ya Kisiwa cha Guangyang Kusini Magharibi mwa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 18, 2024
Kutoka kutishiwa hadi kustawi: urejesho wa mazingira mazuri ya Kisiwa cha Guangyang Kusini Magharibi mwa China
Picha ikionyesha mandhari ya Kisiwa cha Guangyang huko Chongqing, Kusini-Magharibi mwa China, Machi 16, 2024. (Xinhua/Wang Quanchao)

CHONGQING - Kisiwa cha Guangyang, ambacho ni kisiwa kikubwa zaidi cha kijani kwenye eneo la juu la mtiririko wa Mto Changjiang, kimebadilika kuwa "darasa" la urejesho na ulinzi wa kiikolojia kwa watalii na watoto wa shule.

Mfumo wa ikolojia na anuwai ya viumbe wa kisiwa hicho ulitishiwa vibaya kwa sababu ya miradi ya nyumba katika eneo hilo. Hata hivyo, serikali ya mtaa ilisimamisha miradi hatari ya aina hiyo Mwaka 2017, ikianza urejeshaji wa mazingira mazuri katika kisiwa hicho.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha