Uwanja wa Urafiki iliyojengwa kwa msaada wa China yawa mahali pa kuvutia kwa wakazi wa Addis Ababa (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 19, 2024
Uwanja wa Urafiki iliyojengwa kwa msaada wa China yawa mahali pa kuvutia kwa wakazi wa Addis Ababa
Watu wakipiga picha na mnara wa Uwanja wa Urafiki huko Addis Ababa, Ethiopia, Februari 18, 2024. (Xinhua/Li Yahui)

Huko Addis Ababa, mji mkuu wa Ethiopia, Uwanja wa Urafiki ni sehemu inayopendwa na wakazi wa mji huo wanaotafuta burudani, haswa wakati wa likizo. Ikiwa imejengwa kwa msaada wa kampuni za China, uwanja huo umekuwa mahali pa kuvutia kwa wakati mzuri wa kukutana kwa marafiki na familia.

Uwanja huo, ambao ni maarufu katika mji huo inachukua ardhi yenye ukubwa wa hekta takriban 30, ina ziwa moja, eneo la kuchezea watoto, jumba la sayansi na teknolojia, jengo ambalo linaweza kupokea makumi ya maelfu ya watu kwa wakati mmoja, mikahawa kadhaa na maeneo ya kufanya mazoezi ya michezo.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha