Rais Xi akagua Mji wa Changde katika Mkoa wa Hunan, katikati ya China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 20, 2024
Rais Xi akagua Mji wa Changde katika Mkoa wa Hunan, katikati ya China
Rais Xi Jinping wa China, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC) akipungia mkono watu wakati akitembelea mtaa wa kitamaduni huko Changde, Mkoa wa Hunan, katikati ya China, Machi 19, 2024. (Xinhua/Wang Ye)

CHANGSHA - Rais Xi Jinping wa China, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC) amekagua mji wa Changde katika Mkoa wa Hunan katikati ya China siku ya Jumanne ambapo alitembelea mtaa wa kitamaduni na kijiji kimoja.

Amefahamishwa kuhusu ukarabati na utumiaji wa majengo ya kihistoria na kitamaduni, na usimamizi wa pande zote wa mazingira ya maji ya mijini kazi ya maandalizi ya kilimo cha majira ya mchipuko, na uboreshaji wa ufanisi wa usimamizi bora katika ngazi ya mashina.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha