Jukwaa la Maendeleo la China 2024 lafanyika Beijing

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 25, 2024
Jukwaa la Maendeleo la China 2024 lafanyika Beijing
Picha iliyopigwa tarehe 24, Machi ikionesha ufunguzi wa Jukwaa la Maendeleo la China 2024 uliofanyika Beijing, China. (Xinhua/Li Xin)

Jukwaa la Maendeleo la China 2024 limefanyika kuanzia tarehe 24 hadi 25 mwezi Machi. Kaulimbiu ya jukwaa la mwaka huu ni “China Inayopata maendeleo siku hadi siku".

Jukwaa hilo limeandaliwa na Kituo cha Utafiti wa Maendeleo cha Baraza la Serikali la China. Wataalamu, wafanyabiashara, maofisa wa serikali na wawakilishi wa mashirika ya kimataifa kutoka ndani na nje ya China karibu 400 wamehudhuria ufunguzi wa jukwaa hilo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha