Treni yaendeshwa katikati ya maua karibu na sehemu ya Juyongguan ya Ukuta Mkuu wa Beijing

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 25, 2024
Treni yaendeshwa katikati ya maua karibu na sehemu ya Juyongguan ya Ukuta Mkuu wa Beijing
Treni moja ikiendeshwa katikati ya maua yanayochanua karibu na sehemu ya Juyongguan ya Ukuta Mkuu wa Beijing, mji mkuu wa China, Machi 24, 2024. (Picha na Liu Mancang/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha