Teknolojia za kisasa za kilimo zatumika katika kituo cha mboga huko Aksu, Xinjiang

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 26, 2024
Teknolojia za kisasa za kilimo zatumika katika kituo cha mboga huko Aksu, Xinjiang
Mkulima akikagua vifaa vya kuhisi joto kwenye kibanda cha kilimo katika Mji wa Wilaya ya Aykol ya Mji wa Aksu, Mkoa unaojiendesha wa kabila la Wauygur wa Xinjiang, kaskazini-magharibi mwa China, Machi 24, 2024. (Xinhua/Picha na Ding Lei)

Kwa kutumia teknolojia ya kisasa ya kilimo, kituo cha mboga katika Mji wa Wilaya ya Aykol ya Mji wa Aksu umekuwa kituo muhimu cha mboga katika eneo la kusini la Xinjiang.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha