Mabasi ya nishati ya umeme yanayotengenezwa na China yashinda soko la Rwanda

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 27, 2024
Mabasi ya nishati ya umeme yanayotengenezwa na China yashinda soko la Rwanda
Picha hii iliyopigwa Machi 23, 2024 inaonyesha basi linalotumia nishati ya umeme kwenye barabara ya Kigali, Rwanda.

Kampuni zinazotengeneza mabasi yanayotumia nishati ya umeme za China zimeisaidia BasiGo, kampuni yenye makao yake makuu nchini Kenya, kuelekea biashara endelevu, na pia kuanza kufanya kazi muhimu katika kubadilisha muundo wa usafirishaji wa Rwanda wa kutumia nishati safi.

Ni takribani miezi mitatu tangu Kampuni ya BasiGo kuzindua mabasi ya majaribio yanayotumia nishati ya umeme katika usafiri wa umma huko Kigali, mji mkuu wa Rwanda, kwa kushirikiana na serikali ya huko, kufuatia kuzinduliwa kwao kwa mafanikio huko Nairobi, mji mkuu wa Kenya. (Picha na Atulinda Allan/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha