Rais Xi Jinping akutana na waziri mkuu wa Sri Lanka

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 28, 2024
Rais Xi Jinping akutana na waziri mkuu wa Sri Lanka
Mchana wa Tarehe 27, Machi, Rais Xi Jinping wa China amekutana na waziri mkuu wa Sri Lanka Dinesh Gunawardena aliyeko ziarani nchini China katika Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing. (Picha na Zhai Jianlan/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha