Ujenzi wa Mradi wa pili wa mstari wa kuunganisha Ndege ya A320 Airbus waendelea Tianjin, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 01, 2024
Ujenzi wa Mradi wa pili wa mstari wa kuunganisha Ndege ya A320 Airbus waendelea Tianjin, China
Mfanyakazi akifanya kazi katika eneo la ujenzi wa Mradi wa Pili wa mstari wa kuunganisha Ndege ya A320 Airbus unaoendelea huko Tianjin, Kaskazini mwa China, Machi 31, 2024. (Xinhua/Zhao Zishuo)

Ujenzi wa msingi wa jengo kubwa zaidi la Mradi wa Pili wa mstari wa kuunganisha Ndege ya A320 Airbus unaendelea huko Tianjin siku ya Jumapili. Mradi huo unaolenga kuunda ndege za A320 na A321neo, unatarajiwa kuanza kufanya kazi mwishoni mwa Mwaka 2026. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha