Watu watoa heshima kwa marehemu kabla ya siku ya Qingming katika Mji wa Beijing, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 03, 2024
Watu watoa heshima kwa marehemu kabla ya siku ya Qingming katika Mji wa Beijing, China
Watu wakiwa wamekumbatiana baada ya kuweka maua kuomboleza watu waliofariki kwenye makaburi ya mjini Beijing, Aprili 2, 2024. (Xinhua/Ju Huanzong)

Siku ya Qingming ya mwaka huu, ambayo ni Siku ya Kufagia Makaburi, itaanzia kote nchini China siku ya Alhamisi wiki hii. Ni siku ya jadi kwa Wachina kutoa heshima kwa marehemu na kuwaabudu mababu zao. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha