Shughuli ya kuadhimisha Siku ya Mashua ya Qintong  2024  yafanyika Jiangsu, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 07, 2024
Shughuli ya kuadhimisha Siku ya Mashua ya Qintong  2024  yafanyika Jiangsu, China
Picha hii iliyopigwa kwa droni ikionesha shughuli ya kuadhimisha Siku ya Mashua ya Qintong 2024 iliyofanyika katika Bustani ya Ardhioevu ya Ziwa Qinhu la Jiangyan la Mji wa Taizhou, Mkoa wa Jiangsu wa China, Aprili 6, 2024. (Picha na Gu Jihong/Xinhua)

Mamia ya mashua na zaidi ya washiriki 10,000 wa timu za mashua walikusanyika huko Jumamosi kuadhimisha Siku ya Mashua ya Qintong, siku hiyo ya jadi imekuwa na historia ya miaka ya mia kadhaa.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha