

Lugha Nyingine
Uzalishaji wa Magari yanayotumia Nishati Mpya waendelea motomoto Zhejiang, China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 09, 2024
Tangu kuanza kwa mwaka huu, oda za magari yanayotumia nishati mpya kwa kiwanda hicho zimeendelea kuongezeka. Katika mwezi Machi, magari mapya jumla ya 14,567 yalikabidhiwa kwa wateja, ikiwa ni ongezeko la zaidi ya asilimia 136 ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka jana, ikiashiria kuanza kwa mafanikio makubwa robo ya kwanza ya mwaka huu kwa kiwanda hicho. (Picha na Hu Xiaofei)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma