Picha: Maelfu ya Ndege waruka juu ya Ziwa Wolong la China na kuleta mandhari ya kuvutia ya “Wimbi la Ndege”

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 10, 2024
Picha: Maelfu ya Ndege waruka juu ya Ziwa Wolong la China na kuleta mandhari ya kuvutia ya “Wimbi la Ndege”

Tarehe 8, Aprili, Makumi ya maelfu ya ndege waliruka juu ya Ziwa Wolong lililopo Wilaya ya Kangping, Mkoa wa Shenyang wa China wakati wa machweo, wakitengeneza mandhari ya kuvutia na ya kushangaza ya "wimbi la ndege". (Picha/VCG)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha