Meli ya Xuelong ya China ya kuvunja barafu baharini yawasili Qingdao baada ya utafiti katika Bahari ya Antaktika

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 11, 2024
Meli ya Xuelong ya China ya kuvunja barafu baharini yawasili Qingdao baada ya utafiti katika Bahari ya Antaktika
Picha iliyopigwa Aprili 10, 2024 ikionyesha meli ya Xuelong ya kuvunja barafu baharini ikiwa kwenye bandari ya Qingdao, Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China. (Xinhua/Li Ziheng)

QINGDAO - Meli ya Xuelong ya China ya kupasua barafu baharini imewasili kwenye bandari huko Qingdao, Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China siku ya Jumatano baada ya kukamilisha safari yake ya utafiti wake mpya katika Bahari ya Antaktika na itakuwa na shughuli za kuwakaribisha umma kuitembelea kwa siku tatu.

Timu ya China ya utafiti wa 40 kwenye Bahati ya Antaktika katika meli hiyo iliondoka Shanghai tarehe 1 Novemba 2023 na kukamilisha kwa mafanikio kazi mbalimbali za utafiti zilizofanywa kwa siku 161 na kusafiri umbali wa jumla ya maili 81,000 baharini. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha