Wakati Michezo ya Olimpiki ya Paris ikikaribia, Oda za Bidhaa za Michezo zaongezeka kwa kasi Yiwu, China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 11, 2024
Wakati Michezo ya Olimpiki ya Paris ikikaribia, Oda za Bidhaa za Michezo zaongezeka kwa kasi Yiwu, China
Mfanyabiashara kwenye eneo la biashara ya kimataifa la Yiwu, Mkoa wa Zhejiang, China akionesha sanduku lenye mipira ya zawadi ya ukumbusho wa Paris ya chapa ya Double Fish ya China, ambayo ni mipira rasmi ya mashindano ya tenisi ya mezani ya Michezo ya Olimpiki ya Paris mwaka huu. (Picha na Dong Yixin)

Ikiwa ni miezi chini ya minne tu imebaki kabla ya kufunguliwa kwa Michezo ya Olimpiki ya Paris, maduka mengi katika eneo la biashara ya kimataifa la Yiwu, ambao ni mji mashuhuri wa China kwa biashara yake ya rejareja na jumla ya kimataifa, umeshuhudia oda nyingi za bidhaa zinazohusiana na michezo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha