Bidhaa mpya zaoneshwa kwenye Maonyesho ya 4 ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 16, 2024
Bidhaa mpya zaoneshwa kwenye Maonyesho ya 4 ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China
Mtu anayetembelea maonyesho akipiga picha na pikipiki ya Ducati kwenye Maonesho ya nne ya Kimataifa ya Bidhaa za Manunuzi ya China (CICPE) huko Haikou, mji mkuu wa Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China, Aprili 15, 2024. (Xinhua/Yang Guanyu)

Yakiwa yameanza kufanyika Aprili 13 na yataendelea hadi Aprili 18, Maonesho ya nne ya Kimataifa ya Bidhaa za Manunuzi ya China (CICPE) yakiwa na kaulimbiu ya "Changia Fursa za Wazi, Jenga kwa pamoja Maisha Bora" yanahusisha chapa zaidi ya 4,000 kutoka nchi na maeneo 71, zikionyesha bidhaa zao mpya na zenye hali ya juu kwa wanunuzi wa kimataifa.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha