Picha: Bidhaa za kitamaduni kuhusu mabaki ya ajabu ya kale Sanxingdui zaonekana kwenye CICPE

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 17, 2024
Picha: Bidhaa za kitamaduni kuhusu mabaki ya ajabu ya kale Sanxingdui zaonekana kwenye CICPE
Bidhaa ya kitamaduni kuhusu Sanxingdui inayooneshwa kwenye Maonyesho ya 4 ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China (CICPE) huko Hainan, China. (Picha/People's Daily Online)

Kwenye banda la Mkoa wa Sichuan la Maonyesho ya 4 ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China (CICPE) yanayofanyika kuanzia tarehe 13 hadi 18 mwezi huu mkoani Hainan, China, bidhaa za kitamaduni kuhusu Sanxingdui, ambayo ni mabaki ya ajabu ya zama za kale yaliyogunduliwa mkoani humo zinaoneshwa, zikivutia watazamaji wengi kusimama kuzitazama.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha