Maonyesho ya 4 ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China yafikia tamati mkoani Hainan, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 19, 2024
Maonyesho ya 4 ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China yafikia tamati mkoani Hainan, China
Watu wakichagua midoli iliyotengenezwa kwa nyuzi za sufi za Australia kwenye Maonyesho ya Nne ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China (CICPE) huko Haikou, Mji Mkuu wa Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China, Aprili 18, 2024. (Xinhua/Guo Cheng)

HAIKOU - Maonyesho ya Nne ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China (CICPE) yamefikia tamati mkoani Hainan, Kusini mwa China siku ya Alhamisi ambapo matembezi ya watu kwenye maonesho hayo yaliyofanyika kwa siku sita yamefikia mara zaidi ya 370,000, maonesho ambayo yamehusisha chapa zaidi ya 4,000 kutoka nchi na maeneo 71 duniani.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha