Siku ya wapendanao ya Watu wa Kabila la Wamiao yasherehekewa katika Mkoa wa Guizhou, Kusini Magharibi mwa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 22, 2024
Siku ya wapendanao ya Watu wa Kabila la Wamiao yasherehekewa katika Mkoa wa Guizhou, Kusini Magharibi mwa China
Watu wa kabila la Wamiao wakishiriki kwenye maandamano ya kusherehekea Siku ya Akina Dada wa Kabila la Wamiao katika Wilaya ya Taijiang, Mkoa wa Guizhou, Kusini-Magharibi mwa China, Aprili 21, 2024. (Xinhua/Yang Wenbin)

TAIJIANG – Ikiwa inatambuliwa kama urithi wa kitaifa wa kitamaduni usioshikika wa China, Siku ya Madada wa Kabila la Wamiao, ambayo inachukuliwa kuwa Siku ya Wapendanao ya Kabila la Wamiao imeanza rasmi katika Wilaya ya Taijiang, Mkoa wa Guizhou, Kusini-Magharibi mwa China siku ya Jumamosi na itaendelea hadi Mei 5 mwaka huu.

Sherehe ya Siku hiyo inafanyika kila mwaka karibia siku ya 15 ya mwezi wa tatu kwa kalenda ya kilimo ya China. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha