Uchumi wa usiku wa China washamiri katika maeneo mbalimbali

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 24, 2024
Uchumi wa usiku wa China washamiri katika maeneo mbalimbali
Wakazi wakifanya mazoezi ya kujenga mwili kwenye uwanja wazi wa michezo katika Bustani ya Chengbei ya Wilaya ya Shuyang ya Mji wa Suqian, Mkoa wa Jiangsu, China, Aprili 20, 2024. (Picha na Chen Shaoshuai)

Katika miaka ya hivi karibuni, Wilaya ya Shuyang ya Mji wa Suqian, Mkoa wa Jiangsu, China imekuwa ikiboresha miundombinu ya michezo na kufanya mazoezi ya kujenga mwili mijini, kujenga au kukarabati na kupanua bustani kadhaa za michezo, majengo na viwanja vya michezo vya umma vya kufanya mazoezi ya kujenga mwili, na kuboresha vifaa vya kusaidia mwanga wa usiku ili kukidhi mahitaji ya wakazi ya kufanya mazoezi ya kujenga mwili wakati wa usiku.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha