Siku ya Uhuru yaadhimishwa mjini Pretoria, Afrika Kusini (8)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 29, 2024
Siku ya Uhuru yaadhimishwa mjini Pretoria, Afrika Kusini
Mwanamke akipiga picha kwenye sherehe ya kuadhimisha Siku ya Uhuru katika Majengo ya Muungano mjini Pretoria, Afrika Kusini, Aprili 27, 2024. (Xinhua/Zhang Yudong)

Siku ya Uhuru, ambayo huadhimishwa Aprili 27 kila mwaka nchini Afrika Kusini, imepangwa kwa ajili ya kuadhimisha uchaguzi wa kwanza wa kidemokrasia nchini humo uliofanyika Aprili 27, Mwaka 1994, ambapo kuanzia siku hiyo, mtu yeyote mwenye sifa anaweza kupiga kura kuchagua viongozi bila kujali rangi yake.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

Picha