Daraja la Mto Longli la China: Mfano Mzuri wa Uhandisi

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 30, 2024
Daraja la Mto Longli la China: Mfano Mzuri wa Uhandisi
Picha ikionyesha Daraja la Mto Longli. (Picha na Song Xuexing / Chinadaily.com.cn)

Daraja la Mto Longli katika Mkoa wa Guizhou Kusini-Magharibi mwa China lilifunguliwa Jumamosi, na kufupisha muda wa kusafiri kati ya Guiyang, mji mkuu wa mkoa huo, na Nyika ya Longli kutoka saa 1.5 hadi dakika 30. Hili ndilo daraja la kwanza la kamba duniani katika eneo la milima na mabonde.

Kuvuka Bonde la Duohua, Daraja la Mto Longli lina urefu wa mita 1,260. Urefu kutoka kilele cha daraja na staha ya daraja hadi chini ya bonde ni mita 400 na 280 mtawaliwa.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha