Maonesho ya kimataifa ya baiskeli ya China 2024 yafunguliwa

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 06, 2024
Maonesho ya kimataifa ya baiskeli ya China 2024 yafunguliwa
Tarehe 5, Mei, watazamaji wakitazama mfumo wa baiskeli kwenye banda. (Picha na Cai Yang/Xinhua)

Siku hiyo, maonesho ya 32 ya kimataifa ya baiskeli ya China 2024 yenye kauli mbiu ya “Njia Mpya, Msukumo Mpya, Safari Mpya” yalifunguliwa kwenye Kituo Kipya cha Maonesho cha Kimataifa cha Shanghai. Maonesho hayo yamevutia kampuni 1460 hivi kushiriki, yakionesha mwelekeo mpya wa hivi sasa katika maendeleo ya viwanda vya baiskeli na baiskeli zinazotumia umeme, matunda mapya ya teknolojia ya viwanda hivyo, na mawazo mapya kuhusu safari kwa afya.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha