Uzalishaji wa kanranga huko Zaoqiang, Hebei

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 08, 2024
Uzalishaji wa kanranga huko Zaoqiang, Hebei
Tarehe 8, Mei, kwenye kituo cha uzalishaji wa karanga kilichoko Kijiji cha Zhaotun, Wilaya ya Zaoqiang, mkulima akiendesha mashine ya kupandia mbegu za karanga. (Picha na droni)

Katika siku hizi, katika Wilaya ya Zaoqiang, Mji wa Hengshui, Mkoa wa Hebei, wakulima wanafanya kazi ya kupanda mbegu za karanga ili kuhakikisha utaratibu wa kilimo, na mashamba yamekuwa yakionyesha hali ya pilikapilika. Habari zinasema, ukubwa wa mashamba ya karanga katika Wilaya ya Zaoqiang unakadiriwa kufikia hekta 2666.67 mwaka huu, na uzalishaji wake utafikia tani 20,000 kwa mwaka.

(Mpiga picha: Wang Xiao/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

Picha