

Lugha Nyingine
Wilaya ya Xiapu mkoai Fujian yaingia kwenye kipindi cha mavuno ya mwani
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 10, 2024
![]() |
Picha hii iliyopigwa Mei 9 ikionyesha eneo la uzalishaji wa mwani kwenye bahari lililoko karibu na Kijiji cha Shajiang, Wilaya ya Xiapu (picha na droni). |
Siku za karibuni, Wilaya ya Xiapu ya Mji wa Ningde katika Mkoa wa Fujian imeingia kipindi cha mavuno ya mwani. Mwani ni moja ya mazao makuu ya uchumi wa kilimo wa Wilaya ya Xiapu, pia ni chanzo kikuu cha mapato kwa familia nyingi za wakulima na wavuvi. Mwaka 2009, Wilaya ya Xiapu ilitunukiwa jina la "Mji wa mwani nchini China". Kwa sasa, ukubwa wa maeneo ya kuzalisha mwani baharini umefikia hekta elfu 20, na thamani ya uzalishaji huo ni karibu yuan bilioni 4.
(Mpiga picha: Lin Shanchuan/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma