Wakulima wafurahia mavuno katika majira ya joto

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 11, 2024
Wakulima wafurahia mavuno katika majira ya joto
Mei 9, wakulima wakipakia karoti nyeupe katika Kijiji cha Gugao cha Mji wa Wilaya ya Gugao wa Eneo la Jiangyan la Mji wa Taizhou wa Mkoa wa Jiangsu. (Mpiga picha: Tang Dehong/Xinhua)

Wakati wa majira ya joto, mazao ya nafaka, mboga na matunda ya sehemu mbalimbali yameingia kwenye kipindi cha mavuno. Wakulima wamekuwa wakifanya pilikapilika mashambani ili kuhakikisha mazao yote yanawekwa kwenye ghala kwa wakati, wakifanya kazi shambani na kufurahia sana mavuno yao.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

Picha