

Lugha Nyingine
Bandari ya Biashara Huria ya Hainan yapata oda ya kwanza ya matengenezo ya ndege kutoka Korea Kusini (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 15, 2024
Ndege aina ya Boeing 737-800 ya Shirika la Ndege la Jeju la Korea Kusini hivi karibuni imefanyiwa matengenezo na kampuni ya matengenezo ya ndege ya Grand China (GCAM), ambayo pia ni oda ya kwanza ya matengenezo ya ndege zinazoingia nchini China kutoka Korea Kusini katika Bandari ya Biashara Huria ya Hainan, China.
Huduma hiyo inatarajiwa kuendelea kwa siku takriban 16, zinazostahili kupata upendeleo katika bandari hiyo ya biashara huria ikiwa ni pamoja na kusamehewa amana ya pesa taslimu pamoja na mafuta na matengenezo bila kutozwa ushuru.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma