

Lugha Nyingine
Watu wa Kabila la Wamiao washerehekea tamasha la Caihuashan mjini Chongqing, China (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 16, 2024
Tamasha la Caihuashan, ni utamaduni wa Wamiao linalotokana na desturi ya kuchumbiana, ambapo vijana hukutana na kufahamiana kwa kuimba na kucheza pamoja. Tamasha hilo limezidi kuwa na mvuto zaidi katika miaka ya hivi karibuni kutokana na maendeleo ya sekta ya utalii wa maeneo husika na kutangaza tamaduni za watu wa kabila hilo la Wamiao.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma