Mkoa wa Fujian wa China waharakisha maendeleo ya kilimo cha baharini

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 22, 2024
Mkoa wa Fujian wa China waharakisha maendeleo ya kilimo cha baharini
Picha hii iliyopigwa tarehe 10 Novemba 2020 ikionyesha eneo la kilimo cha baharini karibu na Kijiji cha Qida katika Wilaya ya Lianjiang, Mkoa wa Fujian, Kusini Mashariki mwa China. (Xinhua/Wei Peiquan)

Ukiwa uko katika kando ya Bahari ya China ya Mashariki, Mkoa wa Fujian wa China una eneo la bahari lenye ukubwa wa kilomita za mraba 136,000, ukanda wa pwani wenye miamba na ghuba na visiwa vingi, na kuufanya kuwa mahali pazuri pa kuendeleza kilimo cha baharini.

Kwa miaka mingi, Mkoa wa Fujian umekuwa ukijikita katika kuongeza uzalishaji wa vyakula vyenye ubora wa hali ya juu vya baharini, na kuharakisha uboreshaji wa kilimo cha baharini huku ikilinda mazingira ya ikolojia ya baharini. Mwaka 2023, uzalishaji wa kilimo cha baharini mkoani humoyalifikia tani karibu milioni 5.8, ikishika nafasi ya pili nchini China.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha