Kijiji cha mjini Beijing chaendeleza utalii kwa kutegemea rasilimali za Ukuta Mkuu wa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 03, 2024
Kijiji cha mjini Beijing chaendeleza utalii kwa kutegemea rasilimali za Ukuta Mkuu wa China
Picha iliyopigwa tarehe 1 Juni 2024 ikionyesha Ukuta Mkuu na Kijiji cha Shixia katika Eneo la Yanqing la Beijing, Mji Mkuu wa China. (Xinhua/Chen Zhonghao)

BEIJING - Kijiji cha Shixia katika Eneo la Yanqing la Beijing, China kina historia tangu Enzi ya Ming ya China ya kale (1368-1644) na hapo zamani kilikuwa kituo muhimu kaskazini mwa sehemu ya Juyongguan ya Ukuta Mkuu wa China. Kijiji hicho, ambacho kimezungukwa na milima, kimeendeleza sekta ya utalii inayotegemea rasilimali za Ukuta Mkuu wa China katika miaka ya hivi karibuni na huvutia watalii kutoka duniani kote.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha