

Lugha Nyingine
Mandhari ya Mto Manjano huko Yinchuan, Kaskazini Magharibi mwa China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 04, 2024
![]() |
Picha iliyopigwa Mei 30, 2024 ikionyesha sehemu ya Mto Manjano huko Yinchuan, katika Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wahui wa Ningxia, Kaskazini-Magharibi mwa China. (Xinhua/Wang Peng) |
Mto Manjano, ambao ni mto wa pili kwa ukubwa nchini China kufuatia Mto Yangtze, unajulikana kwa jina la "mto mama." Katika miaka ya hivi karibuni, juhudi za kulinda ikolojia yake zimefanywa, ambazo zimerejesha uhai na ustawi kwenye bonde la Mto Manjano katika Mkoa wa Ningxia wa China.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma