

Lugha Nyingine
Wanajeshi wa jeshi la majini la Ufilipino kwenye meli iliyokwamishwa baharini kinyume cha sheria waharibu nyavu za uvuvi za China (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 05, 2024
![]() |
Wavuvi wa China wakikusanya nyavu za uvuvi zilizoharibiwa na wahusika wa Ufilipino, Mei 15, 2024. (Xinhua) |
Hivi karibuni, katika Kisiwa cha Ren'ai Jiao cha China na eneo la bahari linalokizunguka, wafanyakazi wa meli ya usafiri ya wanajeshi wa majini wa Ufilipino iliyokwamishwa baharini kinyume cha sheria ya Sierra Madre wamekuwa wakiharibu mara kwa mara nyavu za uvuvi za wavuvi wa China. Inakadiriwa kuwa mita zaidi ya 2,000 za nyavu za uvuvi zimeharibiwa na mita zaidi ya 100 za nyavu hizo zimeibiwa na wahusika wa Ufilipino kutoka kwenye meli hiyo iliyokwamishwa baharini kinyume cha sheria tangu Mei 15, 2024.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma