Vijana wajiunga na shughuli zinazohusu roboti ili kuongeza maendeleo yake yenye ubora wa juu

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 07, 2024
Vijana wajiunga na shughuli zinazohusu roboti ili kuongeza maendeleo yake yenye ubora wa juu
Peng Kai, mhandisi wa roboti za viwandani na mkurugenzi wa mradi, akifanya kazi kwenye karakana ya Kampuni ya Roboti ya Hunan CIZON mjini Changsha, Mkoa wa Hunan wa China, Mei 31, 2024.

Ujanibishaji wa uzalishaji wa sehemu muhimu za bidhaa na kuongezeka kwa kampuni za uvumbuzi umeleta msukumo mpya katika sekta ya roboti nchini China. Katika eneo la kati la nchini China, kuna vijana wengi zaidi wanajiunga na sekta hiyo ya roboti na kuhimiza maendeleo yake yenye ubora wa juu. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha