Shughuli za Mashindano ya mashua ya dragon zafanyika sehemu mbalimbali nchini  China ili kusherehekea sikukuu ya Duanwu

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 11, 2024
Shughuli za Mashindano ya mashua ya dragon zafanyika sehemu mbalimbali nchini  China ili kusherehekea sikukuu ya Duanwu
Tarehe 10, Juni, 2024, watu wakitazama mashindano ya mashua ya dragon kwenye Wilaya ya Zhenyuan, Eneo linalojiendesha la kabila la Wamiao na Wadong ya Guidongnan la Mkoa wa Guizhou, China. (Picha na Yang Wenbin/Xinhua)

Sikukuu ya Duanwu, ambayo pia inajulikana pia ni Siku ya Mashindano ya Mashua ya Dragon, ni sikukuu ya jadi ya China, sikukuu hiyo ya kila mwaka ni siku ya tano ya mwezi wa tano kwa kalenda ya jadi ya China. Mwaka huu sikukuu hiyo ilikuwa siku ya Jumatatu wiki hii.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha