Mkutano wa Davos wa Jukwaa la Uchumi Duniani wa majira ya joto 2024 wafanyika Dalian, China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 24, 2024
Mkutano wa Davos wa Jukwaa la Uchumi Duniani wa majira ya joto 2024 wafanyika Dalian, China
Picha hii ni mwonekano wa Kituo cha Mikutano ya Kimataifa cha Dalian, ambapo mkutano wa Davos wa majira ya joto 2024 utafanyika kwenye kituo hicho huko Dalian, Mkoa wa Liaoning, kaskazini mashariki mwa China, Juni 16, 2024. (Xinhua/Zhang Lei)

Mkutano wa Davos wa Jukwaa la Uchumi Duniani wa Majira ya Joto 2024 utafanyika kuanzia Juni 25 hadi 27 katika mji wa pwani wa Dalian, Kaskazini-Mashariki wa China, ofisi ya uratibu ya mkutano huo ya mji wa Dalian imesema

Ukiwa unajulikana pia kuwa Mkutano wa 15 wa Mwaka wa Jukwaa la Uchumi Duniani wa Mabingwa Wapya, mkutano huo wa mwaka huu utakuwa na kaulimbiu isemayo "Vichocheo vya juu Vinavyofuata vya Ukuaji."

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha