

Lugha Nyingine
"Kukutana Kuliang: Tamasha la Vijana la China na Marekani 2024" lafunguliwa Fujian, China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 26, 2024
"Kukutana Kuliang: Tamasha la Vijana la China na Marekani 2024" limefunguliwa siku ya Jumatatu likiwa limeandaliwa kwa pamoja na Jumuiya ya Watu wa China kwa Urafiki na Nchi za Kigeni, Serikali ya Mkoa wa Fujian na Shirikisho Kuu la Vijana la China. Vijana zaidi ya 200 wa Marekani na wenzao wa China zaidi ya 300 walihudhuria hafla hiyo.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma