Lugha Nyingine
Utalii katika mji wa pwani wa Qingdao wapamba moto katika siku za majira ya joto (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 26, 2024
Watalii wakitembelea eneo lenye mandhari nzuri la Daraja la Zhanqiao mjini Qingdao, Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China, Juni 24, 2024. (Picha na Wang Haibin/Xinhua) |
QINGDAO - Utalii katika mji wa pwani wa Qingdao katika Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China unazidi kupamba moto huku watalii wa ndani na nje ya China wakienda mjini humo kufurahia mandhari ya pwani na kupoza miili yao katika siku za majira ya joto.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma