Mbwa wa kunusa watia fora kwenye Siku ya Kimataifa ya Kupinga Matumizi na Usafirishaji Haramu wa Dawa za Kulevya

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 26, 2024
Mbwa wa kunusa watia fora kwenye Siku ya Kimataifa ya Kupinga Matumizi na Usafirishaji Haramu wa Dawa za Kulevya
Polisi wa Mkoa wa Jiangsu, China wakifanya mafunzo ya mbwa wa kunusa na kubaini dawa za kulevya huko Nanjing, tarehe 24, Juni, 2018. (Picha na Ben Daochun/VCG)

Tarehe 26, Juni ya kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya Kupinga Matumizi na Usafirishaji Haramu wa Dawa za Kulevya. Katika vita hivyo dhidi ya dawa za kulevya, kuna kundi muhimu sana ambalo ni mbwa wa kunusa na kubaini dawa za kulevya. Uwezo wao wa kuhisi dawa za kulevya, unaweza kusaidia binadamu kuona au kubaini dawa za kulevya zilizofichwa kwa undani sana.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha