

Lugha Nyingine
Meli zilizopita Bwawa la Magenge Matatu zimezidi uzito wa tani milioni 75 katika nusu ya kwanza ya mwaka 2024 (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 02, 2024
![]() |
Picha iliyopigwa tarehe 30, Juni ikionesha meli zikipita lango la meli la Bwawa la Magenge Matatu lenye njia mbili na ngazi tano. |
Tarehe 1, Julai, Idara ya Usimamizi wa Meli ya Bwawa la Magenge Matatu ilitoa habari ikisema kuwa, katika nusu ya kwanza ya mwaka 2024 meli zilizopita Bwawa la Magenge Matatu zimezidi tani milioni 75. Miongoni mwao meli za tani milioni 71.89 zilipita lango la kawaida, na meli zilizopita mashine za kupandisha meli zilifikia uzito wa tani milioni 3.36.
(Picha ilipigwa na Zheng Jiayu/Xinua)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma